Yanga dimbani dhidi ya Namungo Fc leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Nov 2020
Yanga dimbani dhidi ya Namungo Fc leo

Baada ya mapumziko ya takribani wiki mbili kupisha mechi za Kimataifa kalenda ya CAF kusaka tiketi ya kucheza fainali za Afcon 2021, Yanga inarejea uwanjani leo kuikabili Namungo Fc ukiwa ni mchezo wa ligi kuu ya Vodacom

Huu ni mchezo muhimu kwa Yanga kwani matokeo ya ushindi yatawashuhudia wakipanda kileleni mwa msimamo wa ligi

Yanga iko nyuma ya Azam Fc kwa tofauti ya alama moja. Kipigo cha Azam Fc hapo jana kimeipa nafasi Yanga kurejea kileleni

Kocha Mkuu wa Yanga Cedric Kaze ameweka mkakati wa kuhakikisha wanafanya vizuri katika mechi zote saba zilizobaki kukamilisha duru ya kwanza

Leo atakuwa na kikosi chake kamili kitakachowajumuisha nyota waliokuwa na timu za Taifa. Ni Haruna Niyonzima pekee ambaye huenda akakosekana

Juzi Niyonzima alipata ajari nchini Rwanda, ilielezwa hakuwa amepata madhara makubwa

Mchezo utapigwa saa moja usiku katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam

 

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’