Baada ya mapumziko ya wiki mbili kupisha kalenda ya michuano ya kuwania kufuzu fainali za Afcon 2021, ligi kuu ya Vodacom inarejea wikiendi hii, mechi za mzunguuko wa 12 zikianza kupigwa leo
Siku ya leo timu sita zinatarajiwa kupepetana katika viwanja mbalimbali. Mabingwa wa kihistoria Yanga wao watasubiri mpaka keshokutwa Jumapili, wakitarajiwa kushuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Namungo Fc
Ratiba kamili ya mechi za raundi ya 12

ADVERTISE HERE