Mwishoni mwa wiki hii siku ya Jumapili, Novemba 22 mabingwa wa kihistoria Tanzania Yanga watashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Namungo Fc katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom
Yanga imeweka hadharani viingilo vya mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa moja usiku kuwa VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/-, Mzunguuko ni Tsh 5,000/-
Aidha kutakuwa na tiketi za Royal ambazo gharama yake ni Tsh 50,000/-
ADVERTISE HERE