Happy Birthday GSM

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Nov 2020
Happy Birthday GSM

Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Bosi mwenyewe, Ghalib Said Mohammed (GSM)

Wanayanga wanafahamu umuhimu wa huyu mtu katika timu yao kwani baada ya misimu mitatu ya machozi, jasho na damu, GSM ameleta utulivu kwa kuirejesha Yanga mahali pake

GSM ameendelea kuifanyia Yanga mambo makubwa lengo kuu ni kuona mabingwa hao wa kihistoria wanafikia mafanikio ya juu zaidi katika soka ambayo ni kuwa mabingwa wa Afrika

Jitihada zake zinaonekana, muhimu ni Wanayanga kuendelea kumuunga mkono pamoja na kuiunga mkono klabu yao ili iweze kufikia malengo hayo

Leo ni GSM Day! Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake

Happy Birthday GSM..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’