Kupitia taarifa iliyotolewa na uongozi wa Yanga mapema leo, Kaimu Katibu Mkuu ambaye ni Mkurugenzi wa Sheria na Wanachama, Simon Patrick amesimamishwa kazi
Uamuzi huo umechukuliwa na kikao cha Kamati ya Utendaji kilichokutana jana Novemba 17 jijini Dar es salaam
Aidha Kamati ya Utendaji itateua Kamati huru itakayopewa jukumu la kuchunguza tuhuma mbalimbali dhidi yake

ADVERTISE HERE