Ubingwa unarudi Jangwani kwa mara ya nne - Tegete

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Dec 2017
Ubingwa unarudi Jangwani kwa mara ya nne - Tegete
Kocha Mkongwe nchini, John Tegete ameviangalia vikosi vya Simba na Yanga na kutoa tathmini yake kwamba hakuna namna wazee wa Jangwani watashindwa kuondoka na taji la Ligi Kuu msimu huu.

Tegete ambaye mwanaye Jerryson Tegete alicheza Yanga kwa mafanikio, alisema mashabiki wa timu hiyo waanze kuandaa shampeni kwa ajili ya kushangilia ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu.

Kocha huyo wa zamani wa Toto Africans ya Mwanza, alisema Yanga wamekamilika idara zote ndani ya uwanja lakini wapinzani wao Simba ni wazuri katika kiungo na ushambuliaji lakini beki yao iko ovyo.

Tegete alisema kwake msimu huu anaipa nafasi kubwa Yanga ya kutetea ubingwa wa Ligi Kuu iwapo tu uongozi wa timu hiyo utaendelea kumwamini Kocha George Lwandamina.

Ò€œTimu iko vizuri tu nina imani kubwa watatetea ubingwa msimu huu kikubwa sasa ni kujipanga tu kwenye michuano ya kimataifa hivyo mashabiki wajiandae kushangilia taji hilo,Ò€ alisema.

Mwanaspoti
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
51m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’