FT : Yanga 3-1 African Lyon

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Nov 2020
FT : Yanga 3-1 African Lyon

Yanga imetakata uwanja wa Azam Complex leo baada ya kuichapa African Lyon mabao 3-1 katika mchezo wa kirafiki

Yanga iliuanza mchezo huo kwa kasi na walifanikiwa kufunga mabao yao yote katika dakika 30 za mwanzo

Mabingwa hao wa kihistoria walihitaji dakika sita tu kufunga mabao mawili kupitia kwa Tuisila Kisinda na Yacouba Sogne kabla Michael Sarpong hajafunga bao la tatu kupitia mkwaju wa penati baada ya Kisinda kufanyiwa madhambi ndani ya eneo la hatari

Yanga imeanza kucheza vile falsafa ya kocha Cedric Kaze inaelekeza. Muda mwingi mpira ulikuwa katika himaya ya Yanga, timu ikitengeneza mashambulizi kuanzia nyuma

Aidha Kaze ameonyesha imani yake kwa vijana akiwapa nafasi katika dakika 20 za mwisho

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
10h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
14h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
15h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
15h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’