Afisa Mhamasishaji na Msemaji wa klabu ya Yanga Antonio Nugaz jana alishiriki hafla ya uzinduzi wa Tawi la Yanga, Buza International maeneo ya Buza Kanisani
Yanga imeendelea kujipambanua kuwa klabu ya Wananchi, kila mahali Wananchi wameendelea kufungua Matawi ya yanayo-waunganisha katika maeneo wanayoishi








ADVERTISE HERE