Hongera kwa timu ya Taifa ya Wasichana U-17 kwa kufanikiwa kutwaa ubingwa wa COSAFA U17 baada ya kuifunga Zambia kwa mikwaju ya penati 4-3 nchini Afrika Kusini
Ushindi huu ni heshima nyingine kwa Tanzania
Tanzania imeendelea kupaa kwenye ubora wa timu zake za Wanawake

ADVERTISE HERE