Unaambiwa huko Burundi Saido Ntizonkiza ndio mchezaji mwenye heshima kubwa miongoni mwa wachezaji wa timu ya Taifa
Mambo anayofanya katika timu ya Taifa, yamemfanya awe wa kipekee miongoni mwa mashabiki wa soka nchini humo
Juzi aliwapa Burundi alama moja muhimu ugenini baada ya kuisawazishia bao katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Afcon 2021 dhidi ya Mauritania
Ntibazonkiza amecheza soka barani Ulaya kwa zaidi ya miaka 10, unazungumzia mchezaji mwenye uzoefu mkubwa sana
Muda sio mrefu, mfalme huyu ataanza kuonekana kwenye viunga vya Wananchi akiwa sehemu ya kikosi cha Cedric Kaze
ADVERTISE HERE