Ujumbe wao huu kutoka kwa Simon

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Nov 2020
Ujumbe wao huu kutoka kwa Simon

Alichoandika Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Mwanasheria Msomi Simon Patrick katika ukurasa wake wa mtandao wa Instagram;

"Non-Disclosure Agreement (NDA) ni makubaliano maalum ambayo huweka wajibu kwa pande mbili kutunza siri pindi wawapo katika mahusiano ya kimkataba na baada ya mahusiano ya kimkataba.

"Nimepata taarifa kuna kundi la wahuni linalazimisha wafanyakazi wake wa zamani kusaini NDA, wakigoma wanatishiwa polisi na kubambikiziwa kesi.

"Kwa tafsiri ya harakaharaka huu ni USHAMBA wa madaraka. “Karma is a bitch”

"Nawaomba wanachi tujitokeze Jumapili pale Chamazi Complex mida ya saa moja kamili jioni kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya African Lyon"

Football is a game of love not a war!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’