Yanga yarejea mazoezini leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Dec 2017
Yanga yarejea mazoezini leo
Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kurejea mazoezini leo baada ya mapumziko ya siku saba kufuatia kusimama kwa ligi kuu ya Vodacom.

Mchezo unaofuata wa Yanga ni ugenini mkoani Mwanza ambapo Disemba 29 itakuwa mgeni wa Mbao FC.

Ligi Kuu ya Vodacom imesimama kutoa nafasi kwa timu za Taifa za Tanzania Bara na Zanzibar kushiriki michuano ya Chalenji iliyoanza jana Disemba 03 nchini Kenya.

Michuano hiyo inamalizika Disemba 17.

Baada ya kumalizika kwa michuano hiyo kulingana na ratiba iliyotolewa na TFF, kati ya Disemba 22 na 25 kutakuwa na michezo ya kombe la FA (ASFC).

Michezo ya mzunguuko wa 12 VPL itachezwa Disemba 29, 30 na 31 kabla ya ligi kusimama kwa mara nyingine kupisha michuano ya kombe la Mapinduzi
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
8h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
16h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
19h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
22h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’