Ntibazonkiza anaendelea kutupia timu ya Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Nov 2020
Ntibazonkiza anaendelea kutupia timu ya Taifa

Jana Burundi ilicheza mchezo wa kuwania kufuzu tiketi ya michuano ya Afcon 2021 ugenini nchini Mauritania na kulazimishwa sare ya bao 1-1

Saido Ntibazonkiza ndiye aliyewahakikishia Burundi alama moja muhimu ugenini akifunga bao la kusawazisha kupitia mpira wa adhabu

Ntibazonkiza ni usajili mpya ndani ya kikosi cha Yanga akitarajiwa kuanza kuwatumikia Wananchi baada ya kumaliza majukumu na timu ya Taifa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’