Moro yuko kamili kurejea kikosini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Nov 2020
Moro yuko kamili kurejea kikosini

Nahodha wa Yanga, Lamine Moro alipata majeraha kwenye mchezo dhidi ya Simba ambayo yalimfanya atolewe mwanzoni mwa kipindi cha pili 

Habari njema ni kuwa Lamine hakupata majeraha makubwa, daktari wa Yanga amethibitisha

Dkt. Shecky Mngazija amesema majeraha aliyopata nahodha huyo baada ya kugongana na Shomari Kapombe wa Simba hayakuwa ya kiwango kikubwa.

"Tulimfanyia vipimo Jumatatu iliyopita, majibu yanaonyesha kuwa hakukuwa na hatari yoyote kubwa kwenye goti lake, ulikuwa ni mgogano wa kawaida ingawa ulisababisha maumivu hapo kabla lakini baada ya vipimo vya X-ray tumempatia dawa na sasa yuko tayari kuanza mazoezi taratibu" amesema Dkt. Mngazija.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
9m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’