Baada ya kuhojiwa kwa tuhuma za kuihujumu Simba, Mshauri Mkuu wa klabu ya Yanga Senzo Mazingisa aliachiwa huru bila ya masharti yoyote
Haya yanayotokea leo ni ishara ni kwa kiasi gani wanamuhofia sana Senzo
Habari mbaya kwao, Senzo ndio kwanza ameanza kazi, wajiandae kwa maumivu zaidi...!

ADVERTISE HERE