Mwamba ameandaliwa jezi ileile namba 17

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Nov 2020
Mwamba ameandaliwa jezi ileile namba 17

Mabosi wanasema ule usajili wa kishindo ulioahidiwa katika dirisha la usajili lililopita umekamilika na sasa kinachosubiriwa ni wakati mwafaka mwamba kukabidhiwa uzi wa kijani na njano

Aidha hata jezi namba 17 aliyokuwa akitumia katika timu ile imeelezwa ataendelea kuitumia

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema wanakusudia kufanya mazungumzo na Farid Mussa ili aweze kukabidhiwa uzi wenye namba nyingine ili namba 17 akabidhiwe mwamba!

Jamani jamani, hii taarifa inawatesa sana lakini ndio hivyo tena, Injinia Hersi Said ameshafanya yake huko

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’