Baada ya kukamilisha kambi ya siku tatu nchini Uturuki, kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kimeondoka nchini humo kuelekea Tunisia wanakokabiliwa na mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Afcon 2021 dhidi ya wenyeji wao, Tunisia
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Ijumaa, saa nne usiku kwa saa za Afrika Mashariki




ADVERTISE HERE