Jana mlinda lango wa Yanga Mkenya Farouk Shikhalo alimfanyia mwanaye hafla ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa
Jambo la kuvutia zaidi kwenye hafla hiyo ni washiriki wote kutinga uzi mpya wa klabu ya Yanga. Hii ni heshima kubwa kwa timu ya Wananchi




ADVERTISE HERE