Wananchi kazini Uturuki

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Nov 2020
Wananchi kazini Uturuki

Bakari Nondo Mwamnyeto, Abdallah Shaibu 'Ninja', Deus Kaseke na Feisal Salum 'Fei Toto' ni miongoni mwa wachezaji wa kikosi cha Yanga ambao wako na timu ya Taifa nchini Uturuki wakijiandaa na mchezo dhidi ya Tunisia

Mchezo huo wa kuwania kufuzu kwa fainali za Afcon 2021, utapigwa Ijumaa Novemba 13 2020

Nyota wengine wa Yanga walio katika kikosi hicho ni Metacha Mnata, Ditram Nchimbi na Farid Mussa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
16h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
20h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’