Droo ligi ya mabingwa, kombe la Shirikisho yafanyika

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Nov 2020
Droo ligi ya mabingwa, kombe la Shirikisho yafanyika

Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya ligi ya mabingwa na kombe la Shirikisho Barani Afrika, vilabu vya Simba na Namungo Fc wamepata wapinzani wanaoanza nao hatua ya awali ya michuano hiyo

Mabingwa wa Nigeria Plateau United wao watacheza na Simba wakati Al-Rabita Sports Club kutoka Sudan Kusin itacheza na Namungo Fc

Wapinzani wa Simba Plateau United wao wamepata umaarufu wa haraka nchini muda mfupi baada ya droo hiyo kuwekwa hadharani na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF)

Plateau United wanatumia jezi zenye rangi ya njano na kijani, rangi ambayo hutumiwa na klabu ya Yanga

Ni wazi timu hiyo itajizolea mashabiki wengi pale itakapokuja kucheza nchini Disemba 04

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’