Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kimeanza maandalizi kuelekea mchezo dhidi ya Tunisia ambao utapigwa Novemba 13 katika jiji la Tunis
Stars imeweka kambi ya siku tatu nchini Uturuki kujiandaa na mchezo huo






ADVERTISE HERE