Mashabiki Yanga wampa tuzo nyingine Mukoko

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Nov 2020
Mashabiki Yanga wampa tuzo nyingine Mukoko

Mashabiki wa Yanga wamempigia kura nyingi kiungo Tomombe Mukoko kuwa nyota wa mchezo dhidi ya Simba uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa juzi na kumalizika kwa matokeo ya sare ya bao 1-1

Mukoko amepata kura asilimia 54 ya kura zote zilizopigwa akiwashinda Bakari Nondo Mwamnyeto na Feisal Salum 'Fei Toto'

Mukoko pia ndiye aliyechaguliwa nyota wa mchezo na jopo la makocha siku ya mchezo na alituzwa kitita cha Tsh Milioni moja na wadhamini wenza wa ligi kuu kampuni ya KCB

Ndani ya Yanga, hii inakuwa tuzo ya tatu kwa Mukoko kutwaa, kabla ameshatwaa tuzo ya mchezaji bora wa mechi na tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Septemba

Kazi nzuri 'mutu ya Congo'

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
3h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
21h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’