Haruna Niyonzima ameripoti kambi ya timu ya Taifa ya Rwanda inayojiandaa na michezo ya kuwania kufuzu michuano ya Afcon 2021
Niyonzima alikosa mchezo dhidi ya Simba jana ikielezwa hakuwa tayari kwa mchezo baada ya kuugua Malaria siku chache zilizopita
Wachezaji nane wa kikosi cha Yanga wameitwa timu za Taifa kwa ajili ya maandalizi ya mechi hizo za kuwania kufuzu
Ligi Kuu imesimama kwa takribani wiki mbili kupisha mechi hizo za Kimataifa ambazo ziko katika kalenda ya CAF
ADVERTISE HERE