Kiungo Tomombe Mukoko amechaguliwa kuwa nyota wa mchezo dhidi ya Simba uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa leo Jumamosi, saa 11 jioni
Mukoko amestahili tuzo hiyo kwani kazi kubwa amefanya eneo la kiungo
Wadhamini KCB wamemzawadia Mukoko kitita cha Tsh Milioni moja

ADVERTISE HERE