Kaze awaondoa Carlinhos, Niyonzima kikosini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Nov 2020
Kaze awaondoa Carlinhos, Niyonzima kikosini

Kocha Mkuu wa timu ya Yanga Cedric Kaze amethibitisha kuwa viungo wake washambuliaji Carlos Carlinhos na Haruna Niyonzima watakosekana katika mchezo wa kesho dhidi ya Simba.

Kaze amesema Carlinhos ameeanza mazoezi siku mbili zilizopita hivyo hayupo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho

Aidha kwa upande wa Niyonzima, Kaze amesema anasumbuliwa na Malaria

Kuhusu mchezo wenyewe Kaze amesema anatarajia mchezo mgumu na watapata upinzani lakini wamejiandaa kuhakikisha wanapata matokeo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
26m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’