Nyota saba Yanga waitwa Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Nov 2020
Nyota saba Yanga waitwa Stars

Wachezaji saba wa kikosi cha Yanga wamejumuishwa timu ya Taifa itakayoingia kambini kujiandaa na mechi za kuwania kufuzu fainali za Afcon 2021 dhidi ya Tunisia

Stars itaingia kambini Novemba 06 kujiandaa na mchezo huo

Nyota wa Yanga waliojumuishwa katika kikosi hicho ni Metacha Mnata, Deus Kaseke, Bakari Mwamnyeto, Abdallah Shaibu, Ditram Nchimbi, Feisal Salum na Farid Mussa

Mchezo wa kwanza dhidi ya Tunisia utapigwa Novemba 13 na mchezo wa pili ukitarajiwa kupigwa Novemba 13

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
6h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
6h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’