Tiketi za Royal zinapatikana kwa Tsh 100,000/-

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Nov 2020
Tiketi za Royal zinapatikana kwa Tsh 100,000/-

Jumamosi, Novemba 07 kutakuwa na burudani ya kutosha pale uwanja wa Benjamin Mkapa wakati Yanga itaposhuka dimbani kumenyana na watani zao Simba katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom

Habari njema kwa mashabiki ni kuwa kutakuwa na tiketi maalum za Royal mahsusi kwa ajili yao wanaohitaji burudani zaidi

Tiketi za royal zinapatikana kwa Tsh 100,000/- ambapo mashabiki watapata burudani ya ziada ambapo msafara wao utaanzia Regency Hotel na utapewa ulinzi maalum

Mashabiki watakaa jukwaa la VIP A na wakiwa uwanjani watapatiwa burudani za ziada

Piga namba 0784797670 kujipatia tiketi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
22h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’