Kocha Mkuu wa mabingwa wa soka Tanzania Bara kwa misimu mitatu mfululizo Yanga, George Lwandamina amewasili leo jijini Dar es salaam akitokea mapumziko kwao nchini Zambia.
Lwandamina amepokelewa na viongozi waandamizi wa klabu ya Yanga majira ya saa saba mchana kwenye uwanja wa Ndege wa JNIA.
Baada ya kocha Mkuu kuwasili, Yanga wakati wowote inatarajiwa kuanza maandalizi ya mpambano wa ngao ya Jamii dhidi ya mahasimu Simba utakaopigwa Agosti 19, sambamba na maandalizi ya msimu mpya wa VPL.

ADVERTISE HERE