Uongozi wa klabu ya Yanga kwa kushirikiana na TFF wametangaza viingilio vya mchezo dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumamosi, Novemba 07 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa
Aidha, tiketi zimeanza kuuzwa leo katika vituo mbalimbali kama ilivyoainishwa na klabu ya Yanga

ADVERTISE HERE