Yanga yarejea Dar usiku kuwahi maandalizi ya Dabi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Nov 2020
Yanga yarejea Dar usiku kuwahi maandalizi ya Dabi

Baada ya mchezo dhidi ya Gwambina Fc hapo jana, kikosi cha Yanga kiliondoka usiku jijini Mwanza kurejea Dar es salaam kukamilisha maandalizi ya mchezo dhidi ya watani zao Simba ambao utapigwa Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Yanga ililazimishwa suluhu ya bila kufungana na Gwambina Fc, matokeo ambao hata hiyo yamewaweka kileleni mwa msimamo wa ligi

Kocha Cedric Kaze atakuwa na siku mbili za kufanya maandalizi ya mwisho tayari kwa mtanange huo unaosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka nchini

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
55m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’