Upendo wa Wananchi kwa Fei Toto

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Nov 2020
Upendo wa Wananchi kwa Fei Toto

Mashabiki wa Yanga Misungwi wameonyesha upendo wao kwa kiungo fundi Feisal Salum 'Fei Toto'

Mashabiki hao walitinga uwanjani kushuhudia mchezo wa ligi kuu kati ya Gwambina dhidi ya Yanga wakiwa na bango kubwa lenye mchoro wenye taswira ya Fei Toto

Matukio haya hutokea mara chache sana, hii ni heshima kubwa kwa Fei Toto ambaye mwanzoni mwa msimu alisaini mkataba wa miaka minne kuwatumikia mabingwa hao wa kihistoria

Fei Toto ameanza msimu kiwango chake kikiwa juu sana. Huu ni ujumbe kwake kuwa wananchi wameikubali kazi yake

Anachotakiwa kufanya ni kuongeza juhudi ili kuoiga hatua zaidi ya hapa alipo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
36m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’