Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limethibitisha kuwa mchezo wa kwanza wa watani wa jadi msimu huu utapigwa Novemba 07 kama ulivyopangwa kwenye ratiba
Aidha TFF imeweka hadharani viingilio vya mchezo huo ambao utapigwa kuanzia saa 11 jioni uwanja wa Benjamin Mkapa
VIP A ni Tsh 30,000/- VIP B ni Tsh 10,000/- wakati VIP C ni Tsh 15,000/-
Machungwa ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 7,000/-

Yanga itakuwa mwenyeji wa mchezo huu wa kwanza baina ya timu hizo msimu huu
Β
ADVERTISE HERE