Bakari Mwamnyeto, huyu ni Nondo kwelikweli

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Nov 2020
Bakari Mwamnyeto, huyu ni Nondo kwelikweli

Safu ya ulinzi ya Yanga ina watu wawili wa kazi pale eneo la ulinzi wa kati manahodha Lamine Moro na Bakari Nondo Mwamnyeto

Yanga imeshuka dimbani mara nane, imeruhusu mabao mawili tu kutikisa wavu wake, Metacha Mnata akiwa na clean-sheet sita

Katika mechi zote, Mwamnyeto ameshiriki kila dakika akicheza jumla ya dakika 720

Huyu Mwamnyeto ni 'nondo' kwelikweli kama lilivyo jina lake

Ni mtu muhimu sana eneo la ulinzi na hakika GSM walikuwa na kila sababu ya kuvunja rekodi ya usajili wa beki mzawa wakitumia zaidi Tsh Milioni 100 kumleta Jangwani

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’