Kaze anasaka ushindi wa nne mfululizo VPL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Nov 2020
Kaze anasaka ushindi wa nne mfululizo VPL

Leo Yanga itakamilisha maandalizi yake ya mwisho kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Gwambina Fc ambao utapigwa kule Misungwi dimba la Gwambina

Baada ya ushindi wa mechi saba mfululizo, mabingwa hao wa kihistoria wamepania kushinda ugenini dhidi ya Gwambina mchezo huo ukiwa sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo dhidi ya watani zao Simba ambao utapigwa wiki ijayo

Pamoja na ugumu wa ratiba ambapo Yanga wamepumzika siku mbili tu baada ya mchezo dhidi ya Biashara United, kocha Cedric Kaze amesema wamejipanga kuwapa furaha mashabiki kwa kuondoka na alama zote tatu

Kaze amekuwa na mwanzo mzuri katika kikosi cha Yanga akishinda michezo yote mitatu iliyochezwa mikononi mwake

Chini yake, Yanga imeanza kuonyesha utofauti wa kiuchezaji, kandanda safi linaonekana licha ya kuwa bado ipo changamoto katika safu ya ushambuliaji kutokana na idadi ya mabao yanayofungwa

Kaze amesema kwa sasa wanachohitaji ni ushindi tu bila ya kujali idadi ya mabao wanayofunga kwani mabao mengi yatamiminika pale timu itakapokuwa imeiva sawasawa

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’