Farid Mussa, Ditram Nchimbi na Michael Sarpong wametajwa kuwania tuzo ya nyota wa mchezo kwenye kikosi cha Yanga ambacho jana kilipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Biashara United katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom
Krosi ya Nchimbi ilijazwa kambani kwa ustadi mkubwa na Sarpong katika dakika ya 68 na kuihakikishia alama tatu muhimu
Ni matokeo yanayowafanya waendelee kushikilia rekodi ya kutopoteza mchezo msimu huu mpaka sasa
Kura zinahesabiwa kupitia ukurasa rasmi wa Yanga, mtandao wa twitter
ADVERTISE HERE