Wababe wa VPL msimu huu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Oct 2020
Wababe wa VPL msimu huu

Yanga msimu huu inafukuza mwizi 'kimya kimya', hakika kwa mwenendo wanaokwenda nao mabingwa hawa wa kihistoria, kuna jambo litatokea mwishoni mwa msimu

Ilianza msimu taratibu, ukosoaji ukawa mwingi, lakini mpaka sasa Yanga imedhihirisha iko imara sana msimu huu

Leo wakicheza mchezo wa nane VPL dhidi ya Biashara United, wameshinda mechi saba na kutoka sare moja, ushindi wa mechi ni mfululizo

Niwakumbushe tu,kikosi hiki cha Yanga kilichosukwa upya hakijapoteza mchezo wowote tangu kuanza msimu mpya ikiwa ni pamoja na michezo ya kirafiki

Wamecheza mechi 12, wameshinda 11 na sare moja

Huu moto hautazimiki kirahisi...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
21h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’