Kituo cha televisheni cha Azam kimepata haki za kurusha mubashara matangazo ya michuano ya CECAFA Challenge inayotarajiwa kuanza kesho Jumapili, Disemba 03.
Mchezo wa ufunguzi utapigwa kuanzia saa nane mchana ambapo wenyeji Kenya wataikaribisha Rwanda, Baadae Kilimanjaro Stars itashuka dimani kupepetana na Libya saa kumi jioni.

ADVERTISE HERE