Kikosi cha Yanga tayari kiko ndani ya mji wa Musoma kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Biashara United
Mchezo huo utapigwa kesho Jumamosi kwenye uwanja wa Karume
Kabla ya kutua Musoma, Yanga ilipata fursa ya kutembelea Butiama yalipo Makazi ya Mwasisi wa Taifa la Tanzania, Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere



ADVERTISE HERE