Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Mwanza leo kuelekea Musoma ambako wanakabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Biashara United
Mchezo huo utapigwa kesho Jumamosi katika uwanja wa Karume
Yanga iliweka kambi ya siku tano mkoani Mwanza baada ya mchezo dhidi ya KMC ambao walishinda kwa mabao 2-1 mwishoni mwa wiki iliyopita



ADVERTISE HERE