Kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Biashara United
Mchezo huo utapigwa Jumamosi, Oktoba 31 kwenye uwanja wa Karume, Musoma
Kocha Cedric Kaze amepata muda wa kutosha kuwaandaa vijana wake jijini Mwanza kuelekea mchezo huo




ADVERTISE HERE