Charles Boniface Mkwasa 'Master' ndiye kocha mkuu wa Ruvu Shooting ambayo jana ilipeleka kilio Msimbazi kwa kipigo cha bao 1-0
Mkwasa aliwakabili Simba kiufundi sana, akitumia mfumo wa 3-5-2
Bosi huyo wa zamani Yanga, amewapiga dongo Simba kuwa wasikariri kuwa ni wao tu wanaostahili kupata kila siku

"Mwenyezi Mungu asante sana kwa matokeo na wewe kweli ni Mkubwa huwagawia wale anaowapenda na hachagui uwe tajiri au maskini akiamua kukupa hata uzibe vipi lakini mwisho wa siku atakupa. Nisaidieni, sisimizi kameza msumari tutafanyaje?," maneno ya Mkwasa kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii
ADVERTISE HERE