Azam Fc imetepeta pale uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Mtbwa Sugar
Kipigo hicho kinaifanya Azam Fc iwaache Yanga kama timu pekee ambayo haijafungwa msimu huu
Aidha huko Msimbazi, pakacha limeendelea kuvuja baada ya leo tena kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Ruvu Shooting
Huyu Mkwasa huyu, asichukuliwe poa...! ni kocha wa viwango vya juu...!
Yanga inaweza kupanda kileleni mwa msimamo wa ligi Ijumaa kama itapata ushindi dhidi ya Biashara United
Mapambano na yaendelee...!
ADVERTISE HERE