Mchezo dhidi ya Biashara United kupigwa Oktoba 30

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Oct 2020
Mchezo dhidi ya Biashara United kupigwa Oktoba 30

Baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya KMC jana, kikosi cha Yanga kinaendelea kubaki jijini Mwanza kujiandaa na mchezo unaofuata dhidi ya Biashara United

Mchezo huo utapigwa Ijumaa Oktoba 30 kwenye uwanja wa Karume, Musoma

Kikosi cha Cedric Kaze kitakamilisha ratiba ya kanda ya ziwa kwa kuumana na Gwambina Fc Novemba 03 mchezo ambao utapigwa kule Misungwi, uwanja wa Gwambina

Baada ya mchezo huo, Yanga itarejea jijini Dar es salaam kuwasubiri watani zao Simba ambao watakumbana nao Novemba 07

Mabingwa hao wa kihistoria wameanza msimu kibabe wakishinda mechi sita kati ya saba walizocheza

Tangu walazimishwe sare ya bao 1-1 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa kwanza msimu huu, Yanga imeshinda mechi zote zilizofuata

Imejikusanyia alama 19 ikiwa nyuma ya Azam Fc kwa tofauti ya alama mbili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
50m ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
4h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
9h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
9h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
19h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’