Jioni ya leo kikosi cha Yanga kimekamilisha maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC ambao utapigwa kesho Jumapili uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza
Vijana wa kocha Cedric Kaze wamefanya mazoezi yao ya mwisho kwenye uwanja wa Nyamagana





ADVERTISE HERE