Wananchi wameipokea kwa shangwe timu yao jijini Mwanza kuelekea mchezo dhidi ya KMC hapo kesho
Mwanza ni ngome ya klabu ya Yanga, KMC wamejichanganya kupeleka mchezo Mwanza kwani wamewapeleka Yanga nyumbani!
Kazi wanayo hiyo Jumapili...





ADVERTISE HERE