Dk Msolla kuongoza msafara wa Yanga Mwanza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Oct 2020
Dk Msolla kuongoza msafara wa Yanga Mwanza

Mapema kesho Jumamosi, kikosi cha Yanga kitaondoka jijini Dar es salaam kuelekea mkoani Mwanza tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC

Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumapili kwenye uwanja wa CCM Kirumba

Afisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema Mwenyekiti Dk Mshindo Msolla ataongoza msafara wa watu 38 utakaowajumuisha wachezaji, benchi la ufundi na viongozi

Wachezaji wote 25 wa Yanga watasafiri jijini Mwanza kwa ajili ya mchezo huo na mechi nyingine zitakazopigwa kanda ya ziwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
10h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’