Kamati ya Sheria na Nidhamu ya klabu ya Yanga imemsimamisha Mwanachama maarufu wa klabu ya Yanga Bahati Mwakalinga maarufu kama Mama Manji kujishughulisha na shughuli zozote za klabu kwa kipindi cha miaka miwili

ADVERTISE HERE