Farid Mussa, Bakari Mwamnyeto, Mukoko Tomombe na Yassin Mustafa wametajwa kuwania tuzo ya nyota wa mchezo dhidi ya Polisi Tanzania ambao ulipigwa uwanja wa Uhuru
Kikosi cha Yanga kilikuwa na mchezo mzuri, bao la dakika ya 70 lililowekwa kimiani na Mukoko akimalizia pasi murua ya Farid, liliihakikishia Yanga ushindi muhimu uliowapeleka nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi
Kura zinahesabiwa kupitia ukurasa rasmi wa klabu ya Yanga, mtandao wa Twitter Yangasc1935
ADVERTISE HERE