Berdien apewa mkono wa kwaheri Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Oct 2020
Berdien apewa mkono wa kwaheri Yanga

Ni kama uongozi wa Yanga umeachana na aliyekuwa kocha wake wa viungo Riedoh Berdien ambaye hivi karibuni ameonekana akisimamia majukumu kama hayo kwenye timu ya Taifa ya Gambia

Berdien aliondoka nchini mwezi uliopita kwa kile alichoeleza kwenda mapumziko ya wiki moja kwa ajili ya kuiona familia yake

Hata hivyo tangu wakati huo, kocha huyo hajarejea tena nchini ikielezwa habari yake na Yanga imemalizika ingawa hakuna taarifa rasmi iliyotolewa

Aidha kupitia mahojiano aliyofanya na chombo kimoja cha habari, Berdien amesema amefikia makubaliano ya kusitisha mkataba wake na Yanga ikielezwa kuwa aliondoka nchini bila ya kupewa ruhusa na uongozi

Berdien aliletwa nchini na Luc Eymael kocha aliyetimuliwa Yanga kwa makosa ya kibaguzi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’