Uongozi wa klabu ya Yanga umeweka hadharani vituo ambavyo mashabiki wanaweza kununua tiketi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Polisi Tanzania ambao utapigwa kesho Alhamisi, uwanja wa Uhuru
Vituo hivyo ni Makao Makuu ya klabu ya Yanga (Jangwani), Merere Sports(BigBon), Buguruni Sheli, Mwembe Yanga na TFF
Vingine ni Ubungo Sheli, Kibo Complex (Tegeta), Poa Supermarket (Tegeta), Mwenge Sheli na Dar Live Mbagala
Viingilio vya mchezo huo Mzunguko 5,000/-, VIP B 10,000/- na VIP A 15,000/-
ADVERTISE HERE